Hii kitu inadevastate biashara. Hakuna unga bana. Sijui ata tufunge biashara tukae mitini. Njaa inatueza.
Hii maneno ya lockdown itakuwa ama tukae tu ngumu? Is the number of confirmed Corona cases real or just a govt contortion?
Wewe jua tu korona iko. Stock pile kama unawesa