Coolkids wamepiga chini kamtu kakajichora

[MEDIA=facebook]id=3015795225117620;type=video;user=mufea[/MEDIA]

[ATTACH=full]289325[/ATTACH]
[ATTACH=full]289326[/ATTACH]
[ATTACH=full]289327[/ATTACH]

hii akina Odhis wataweza nyorosha kweli?

Hii ni pande gani ya Kenya?

[ATTACH=full]289329[/ATTACH]

:D:D:D

sijui but that’s a fake bently, bonnet ya bently siku hizi ni carbon fiber, hiyo naona ni mabati kutoka china

Hii hata insurance won’t cover :D:D:D:D

Wewe ni jinga ya wapi

Hakuna comprehensive cover for unique vehicles

Hii western wanasemanga ameona olumbe aka luwere!!!

Probably its an older model.

It was at that moment he knew that they were…

Pesa ya wizi huisha hivo tuu

Mbio kubwa ni kifo

Navara iko nayo?

Huyo fala anarecord mbona anafanana DNA? Lakini hawa mungu wao alikua anafanya overtime :D:D

The driver seems fine. Passenger ako sawa?

ghassia anasema ako sawa na hakuwa na seatbelt

How does a dude crash without turning the steering wheel?

[ATTACH=full]289384[/ATTACH]
That’s when he realised shit just got real…