Cooking with kienyeji: marinated turkey

1 Like

The only lady that makes plantation look admirable. But sasa mtu kama @PHARMACY anameza Tusker na maandazi ya kiosk asubui. @Yuletapeli naye bibi hajui kupika.

Hehe, Kodiaga, mimi nina mpishi hodari. Nilimfunza tu kupika fish na omena, the rest alikuwa sawa saidi. Hata ugali hupika hadi inaungua sawa sawa inatoa ile harufu tamu sana :sunglasses:

Unaweza nyonga na marinade?

This lady has good content, Hawa ma slay queen wa kanairo hawapendi ju ame ste standard so high

Huyu anakaa Liziqi, the chinese super wife material lady; african version. Nice stuff.