Conundrum - Money, Hunger, Alcohol and V*g|n@

Ukiwa na pesa huwa husikii njaa ya chakula, vileo au kino.
Ukisota (ma)njaa zinakuandama.

Mbona ?

Naona umesota. Exclude hiyo kino na pambana na hali yako. Bure kabisa. Ngombe ici

dopamine… mind needs new stimulus… ukipata kakitu long term thinking inapotea kiasi

Uongo. Hio ni uongo. Pesa ikiingia kuna vile mzee hunyonji mbaya sana. Lakini hapo kwa chakula ni ukweli. Ukiwa na pesa hata njaa inakuuma na adabu.

Mimi nkiwa na pesa huwa nalose weight kiasi lakini wacha nisote. Nakuwa creative na diet ndio ifit kwa budget, in the process nanona kiasi. I guess ni juu ya change in priories.