Conspiracy Theory: Ahai's Take on Bitcoin

Anakuwaga mjuaji sana huyo @Sambamba . Tangu afanye certificates za CCNA Networking hapo NIBS college huwa anajiona yeye ni Bill Gates of sorts.

From his own confession alisema ati alikuwa ameajiriwa na a small company kama technician wa kuwekea watu fibre, Safaricom ikiangia hio sector ikabaki wamefutwa kazi wote.