Confusion galore

that astrasomething itauwa watu kenya ama ilete unexplained cancers or problems long run… mi nangoja 1 to 2 years

I lost sense of taste back in July last year. I couldn’t taste anything for that whole month.Friends and family walinishow I had Mild Covid 19.Lakini sikuwa na any other symptoms.

Mask sijavalia isipokuwa zile siku nimelazimishwa. Sijafa. Sifi.

Msimamo wangu ni eti hakuna covid19. Kama utauliwa na Tb, sukari, cancer, na zile magojwa zengine za kawaida, ii wakati tutasema ni covid19 imekuuwa. Kama kuna evidence wewe ni malaria imekuuwa, watasema covid19 ndio imechangia, waseme ulikuwa na “underlying condition.”

Mimi hadi kufa, sitayumba yumba, sitabadilisha msimamo, nife au niishi

Its important ju after 1st dose unapata 60% immunity… Second 90%

Uafrika itawaua

Unakufuru.

Manze tubu

Titanic said even God won’t sink it astaghfirullah

Schumacher akasema he is faster than God
Astaghfirullah

Mwishowe?

More of"money making galore’ by big pharma

They contributed nada to the vaccine, but are experts in their effects, won’t trust those mongrels.
Kenya watengeneze vaccine yao ndio wacomment upuuzi