ODM members are very much confused. Wamekumbuka they have one common enemy to fight. Kumbuka mtego wa panya hushika waliomo na wasiokuwemo
Lakini hapo kwa 1st August nimependa sana
Ni sawa but hata wao wenyewe wataathirika
@Dominic Wafula What about first august?
ODM wanataka iwe deadline ya noti mzee.
Hawana sababu hata wao wenyewe