Confirm lekeshen

Mimi Huyu hapa Nsha maliza session wale wako umoja HB Kuja. Password ni @Duke of Busia. Uwezi kosa frothy substances [ATTACH=full]209233[/ATTACH]

Milele club! Kuna ile bash ya bridesmaids inahappen.

Top Pub, Kampala. Nimesafisha macho mpaka naweza ona atoms bila electron microscope.

Kwanza saa hii najua kameshika sana!

Kameshika mbaya…

[ATTACH=full]209236[/ATTACH]

Naongea kuhusu madame…nini wewe nkt!

Sema pole pole braza, hapa ndio HQ ya matako kubwa.

Governor 040 ame-check in, leo najua anakula zile kubwa kubwa.

Aiyayaya…what are all this. Miraa, cigarettes, an ecstasy pill and coca cola. You will need a liver an kidney transplant at the end of the weekend. Hii ni kujiua pole pole ruminant.

[ATTACH=full]209256[/ATTACH] [ATTACH=full]209262[/ATTACH] https://gifimage.net/wp-content/uploads/2017/01/But-Why-GIF-Image-Download-11.gif

@mayekeke nipe good recommendation poa ya kuosha macha na rungu ug next month niko huko kaka.

Utabidi umeuliza madova ni mwenyeji Kampala

lakini nyinyi mabigwigs wa ktalk mbona huwa hamulushii mapeasant kama mimi tubiz hata mimi nikafunge?

Hiyo place hata kipofu ata appreciate mbaya.