Comrades Flavour..... Ni mimi tu ama does anyone else watch this?

Kama hii ni scripted then there must be more actors roaming the streets of Nairobi than Hollywood.

https://www.youtube.com/watch?v=lv1gY0xCrCs

Where is this in Nairobi anyway?

Hi na Mbluto sijui pluto, ni upus ziko scripted… kuna new kids on the block pushing the envelope, niliona hio truth test flani juzi fala alitaka ku drown mjunior after kujua mbegu analea ni ya mtu mwingine… upuzi galore.

Afadhali niangalie pharmacy akikunywa balozi than kuona hii chieth

Inakuwanga na tudame tuzuri. Hao nikiwezapata nitashine nao mbaya sana.