Comrade wangu Mbunge John Heche katika hili la Peter Zacharia nakukatalia na acha Siasa na Ukabila tafadhali

Wakiendelea kutandikwa risasi hivihivi, lile kundi la wasiojulikana litajitokeza na tutawatambua washirika wao hata humu mitandaoni.

Kwa hili bandiko nimehutimisha kuwa kila mtu ana bei yake;

Hata zile Kelele zote za Lisu mpaka mapovu yanamtoka mdomoni hazikuwa bure…

Hakuna asiyekuwa na bei dunia hii. La muhimu una bei kwenye nini.

Mkuu; ilishasemwa: Wakitumaliza sisi watahamia kwenu. Yawezekana Zakaria si msafi lakini kama alivyouliza Kikwete - tena hadharani- ni nani aliemsafi ccm? Wameanza kutafunana “menyewe kwa menyewe”

No wonder mnakata viuno mkishangilia upumbavu huku mkigombea wali na kupewa buku 7. Au zimepanda?

Kwa hizi kombora alizopewa mleta mada atakuwa anauchungulia huu uzi namna hii.

Wengi nimegundua mnachuki binafsi na huyu POPOMA,C.FELA kiasi kwamba akiweka hoja yeyote mnakimbilia kutukana pengine bila hata kusoma alichoandika
Punguzeni mihemko waungwana na kama tupo hivi raia wa Tanzania basi acheni tuendlee kuporwa pesa za korosho.

Kifupi Tarime nzima inashangilia tukio hili pengine la kihistoria kwao.

Zakaria ni zaidi ya Zakaria wa mabasi achana na dharau zake ni zaidi ya hayo

Usalama acheni wafanye kazi yao na hayo ni matukio yanayowakuta katika kazi na wanastahili kumfuata zakaria

Wiki jana Zakaria alienda kanisani kutubu na kuomba waumini wamwombee maana usalama wako nyuma yake…Mke wake yupo rupango kwa makosa kadhaa…

Polisi Tarime au Mara kiujumla ipo mikononi mwake na sometime huwa anawapiga hadi makofi,…

Inshu hii ni pana sana aisee wala wanasiasa wasiichukulie kama ndio kigezo cha kuidharau TISS.

UWT wanajua wafanyacho tusifikie hatua ya kuwadharau kiasi hicho.

Dodoso tu ni kuwa inshu hii inaanzia kwa Tajiri wa supa Sami kisha Nyanza…Acheni uzwazwa na msipende kumshambulia POPOMA wa kale kwa kudhani hajui alichoandika.

Hilo jamaa uenda lina matatizo ya akili kweli sio bure

hii ndio kenyatalk bhana… full freedom. hakuna kuogopana wala kuleteana unafiki na kusifiana ujinga kama kule jf.

nimependa moderator wa huku wanavyotuacha tunyoshane wenyewe kwa wenyewe. hakuna ban za kijinga, kufuta post au kuunganisha thread.

naona umeamua kurudi na ki ID chako kingine cha dharula. utapata tabu sana.
popoma wahed.


Hapo kwenye bold; ndio hoja ya wengi wetu (tusiokubali kushangilia ujinga). Kama kweli UWT wanajua walifanyalo, (Zakaria hajaanza hayo anayotuhumiwa kuyafanya jana alipokamatwa - na kama ulivyotutanabahisha hapa Polisi wapo mikononi mwake na sometimes huwa anawapiga hadi makofi) NI KWA NINI WASIMCHUKULIE HATUA SIKU ZOTE HIZO - hadi wamchukulie hatua jana??? Huyu bwana magari yake ndio yalikuwa yanatumika kusomba watu kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm - halafu mara nyingi baada ya mikutano usafiri wa kurudi nyumbani “unajiju” - kipindi hicho alikuwa msafi??

Kwa nini tusiamini kuwa kuna kitu kingine nyuma ya pazia kilicholeteleza yote haya? Mwenye majibu ya kueleweka juu ya mashaka yangu haya na aje aniambie.

Nili

Nilifikiri ni Mimi mwenyewe sijamwelewa kumbe tuko wengi.

Sawa lakini jaribu kuwa makini sana usijaribu kuwafananisha watu kwa kuwa tu wapo tofauti na wewe kimawazo na si kila kitu lazima tulaumu

Mwigulu kapigwa chini

Nadhani unaelewa nini maana ya pesa katika awamu zilizopita lakini pia ni kama nilivyosema inshu hii ni pana sana.

Ziara ya PM ndio chanzo cha yote Chief hadi mkewe sasa yupo selo karibu mwezi mzima sasa.

Lakini pia kifo cha tajiri mwenzie Super Sami…
Let’s end this diskasheni Chiefs yasio tuhusu tuyaache kidogo tijadili yenye tija zaidi kwetu sote

huyu mtoa post nilishamshAuri toka juz awahi mirembe kwanz alibisha kuwa watekaji sio usalama,sasa tukio LA zakaria limemuumbua,huyu genta n chizi

Mi Napita na 50 zangu

[FONT=courier new]Kawaida yangu siku zote huwa sieleweki na ’ Wapumbavu ’ wanaongozwa na Rais wao Wewe. Pole sana![/FONT]

[FONT=courier new]Cc: @Luambo Makiadi . @Halichachi , @kadoda_jizee_la_60s , @Freyzem, @Teflon_5, @Sijuti , @MGOMO , @ileje [/FONT]

Hahahaha,rafiki yangu @getamycine naona bora urudi nyumbani huku kumekukataa,Kule watu walikuwa wanaogopa ban,
Huku utayaoga matusi had I basi

[FONT=courier new]Sijutii na tena kwa taarifa yako kwakuwa Mimi ndiyo Makao Makuu ya hayo ’ Matusi ’ na maneno yote ya ’ Shombo ’ unayoyajua na hata yale usiyoyajua huku sasa ndiyo napapenda kwani nitaweza kuwaonyesha dhahiri kuwa sina ’ Mshindani ’ na huku sasa ndiyo ’ watayakoga ’ hadi wajute kuifahamu hii ’ Brand ID '.

Kama wakati wa Kampeni za Urais mwaka 2015 nilikuwa ’ Mwiba Mchungu ’ kwa Wapinzani na hasa wana CHADEMA tena waliokuwa wengi kule Nyumbani JamiiForums kuliko hata hapa ’ Ukimbizini ’ Kenya Talk ndiyo unadhani wataniweza?

Halafu uzuri ni kwamba nimetokea katika ’ Makabila ’ mawili hatari, muhimu na makini ya Zanaki na Tutsi hivyo Kwetu Sisi ’ Kuogopa ’ chochote au lolote ni ’ mwiko ’ na moja ya ’ Sifa ’ yetu kubwa ni kupenda Vita, Mapambano na Hatari hivyo nayatendea haki yote hayo.

’ Principle ’ yangu itabaki ni ile ile milele niwapo humu Mitandaoni kwamba ukija Kistaarabu basi utampenda GENTAMYCINE ila ukija ’ Kishari ’ utajuta kunifahamu kwani nitakushughulikia kwa mbinu zangu zote na hakuna Vita ninayoipenda na kuimudu vilivyo kama ya ’ Kisaikolojia '.

Kama kawaida Wewe ’ Ukijamba ’ tu basi Mimi ’ naharisha ’ kabisa na namalizia na ule msemo wa Rais wa Uganda Mzee Yoweri Kaguta Amos Museveni anaosema naunukuu…" I pay You according to your Price ". Na Wewe kama unajisikia pia Kuungana na hao ’ Wapumbavu ’ katika ’ Kupambana ’ na Mimi ruksa tu kwani huwa napenda sana ’ Kushambuliana ’ na Idadi kubwa ya Watu kwakuwa nina ’ Jeuri ’ ya Kuwamudu na hawana ’ ubavu ’ wa kuniweza.

Nimemaliza.[/FONT]

wee choko tu.