Complete Grid Failure

Who in This forum has power?

I dont have in kirinyaga

kwani ni nationwide

Kumbe siko solo. Ilienda at around noon.

Lost here too, about 20 mins ago

Keren hakuna stima

Meffi, sema location ata kama ni county.

Hakuna Runda SIZE=1[/SIZE]

Kitengela hakuna

[ATTACH=full]498770[/ATTACH]

Hargeisa iko

Nationwide Blackout which Kenya darkness is claiming to be system disturbance

Ni Lower Karen my fren

[MEDIA=twitter]1632047346828681218[/MEDIA]

Hapa getto iko stima

Nimezoea stima ya Kakamega kupotea na first raindrop nili-assume ni upuzi ya huku.

Watu was solar hatuna hizo shida

all of subsaharan Africa is in the dark today. kina Nigeria,South Africa,TZ, Zimbabwe, Angola watu wanakula giza enyewe Africa ni shithole we should get nuked

Hata huku Northland’s SIZE=1 [/SIZE][SIZE=4]hakuna umeme[/SIZE]

Sawa mkuu