Common sense not common to all

Hata kama ni kujenga?[ATTACH=full]50838[/ATTACH]

Hiyo si matope jamaa… Inaitwa Rendering…

Shida iko wapi?

MIMI SIONI SHIDA YOYOTE HAPO

mnakumbuka yule mzee alihangaishwa na mawaidha akiwa na bibi mpaka akabeba punda wake?..

Hii ni mpya

huku mumias wanaweka hizi nyumba mpaka stima

I have slept in a house like this pale ocha…ilikuwa keja ya uncle na ilikuwa na stima. Mseh alikuwa na TV lakini zile old model yenye ina mgongo. Keja kama hii hata kukiwa na jua moto nje ndani ni cool juu ya hio mud wall

NANI AMEKUULIZA ?

Bukusu sheppart Lichoti haujalala? Ama ndo unageuzwa geuzwa kama chapati pale bediko na mungich bwana yako akikupa shoti ya mwisho ya lala salama

He is doing night running rounds don’t worry bukusus are notorious on that

Nyumba kama hii ikichapwa plaster na finishing ni noma sana.bigup kwa wenye hatulipi rent

hii nyumba ikiwekwa plaster it’s fine

[SIZE=5]Whats wrong ? hii nyumba weka plaster ya white and it will look mighty fine , good use of materials in your surrounding ubaya wa Kenyan mentality is a house has to be of mawe ya quarry. In this case the author of the post is the one lacking common sense ![/SIZE]

Thatched hacienda…

http://irishpost.co.uk/wp-content/uploads/2015/11/adare-n.jpg

Osungu Brigade; mnawachaje huyu jamaa aseme notorious on? Notorious on? @introvert, ambia Rajesh [so notorious for sleeping on the job!] awchane na roti kwanza - kazi 'apa yake iko!

Uuuwiii.
Makosa imefanyika…
[ATTACH=full]51053[/ATTACH]
There’ ll be interviews for a new driver soon.
[ATTACH=full]51054[/ATTACH]

Hio itakula simiti hadi unyambe teargas.

Zii kwanza ashasave na hio matope

TALKING FROM EXPERIENCE,SIMBA YANGU ILINIKULA.