Commercial break from election.

After form four I was forced to go to Nairobi “kufunzwa kutengeneza pesa” as my cousin Mike would put it. The guy would come to ushago riding a sleek black Mercedes benz, throw some few thousand at us and flaunt on how he has mastered the way of making money in Nairobi. Madhee kucheki hivo akanifurusha tuandamane na Mike to the land of milk and honey.

Kufika kanairo jamaa akanipeleka kwake mathare north, kumbe alikua anastay kwa single room. Tukipiga story na wyf yake ananishow mike anafanya department ya procurement kwa ministry of education. Nikashangaa cz nyumbani tunajua vizuri Mike aliwachia form three. Btw baadaye huyo Dem alinitolea certificate ya mike ya campus na hadi iko na seal ya university na sign ya vc.The few days I was there it got clearer to me that the guy is shady considering the events that ensured occasionally. Yaani Tumekaa kidogo kwa nyumba na wyf yake polisi wanakuja kwa hao wanatoa mashini ya kusiaga kifuli kwa ceiling board. In another incident niliskia alienda kubuy gari ya msee flani. They went to a microfinance and withdrew 500k, the owner of the car was fully involved in all the transaction. Mike akaweka Doo kwa koti waende kwa gari ya muuzaji wafanye transaction. Kumbe jamaa had another fake 500k notes in the other pocket of the Blazer. Hiyo ndio akapea mwenye gari, they went and signed papers kwa advocate na he was the new owner of the car. By the Time the guy realized ameconiwa ilikua after two days. Walienda polisi Hadi kwa koti but Mike won the case. Apart from that he was also a broker. He was an agent of this posh houses in runda and lavington. There is a time he got 4 expatriate who rented a house in runda each for one year. Two months rent ilikua yake for each of the four houses. Jamaa is a typical luo, alikua anaeza unda one million sahi but inaisha within a month cz the first thing ilikua kubook flight to coast na slay queens Malaya . Doo ikiisha anarudi kunywa keg kwa mbugua.

So after two weeks jamaa akanitaftia job kwa Kenya power. We were five guys kazi yetu ilikua kuchimba shimo za polls ya stima. Gari ya power ingetuzungusha area ya baba dogo the whole day tukichimba shimo. Payment was 650 per day. Elders the main challenge pale kwa nyumba ilikua time ya kulala. Mike akitoka kwa keg saa tano usiku anarukia Yule Dem before anything else. Dem anamoan design ingine so tempting. Saa hiyo nmetandikiwa godoro hapo kwa simiti nimembao yangu yote. Siku moja I went to work na sikurudi kwa hiyo hao, I went to sleep at ojwang’s place, he was my colleague kwa power.

I worked for another two months contract ikaisha nikarudi kwetu kombewa kukua MC kwa matanga.

Swaffiiii elder

:D:D:D:D

Hekaya Iko timam. :D:D:D:D

Kwa hivo uliamua you will not adapt to the chicanery of the city? But I’m curious. Where is he now? How did it all end up for him? This hekaya is incomplete without that part.

Big car, no house, kizungu mingi , is the true definition of a successful Luo man .

Here we can see @Jimit bit more than he could chew …

[ATTACH=full]465087[/ATTACH]

MC kwa matanga!!! Umeweza

:D:D:D:D

:D:D:D i need more of these!

:D:DHekaya safi elder. Malizia hiyo story though. What happened to him?

Haujashinda ule jamaa wa kuokota pembe na hooves kwa slaughter house.
Elders tuneona fwaya.
Vile dark triad amesema hapo juu.
Safi sana elder. Maliza hekaya.

:D:D:D

Hajafikia Ile alikuwa akinyamba Kwa train from Kikuyu to railway golf club. Hio hekaya nilirudia kusoma kama set book four times.

Link kama unaweza.

Rink priiiz

Ilikuwa @Adeudeu link ulizia @Electronics4u .

:D:D:Dgood stuff Chinua Achebe in the making