Comment mpya toka kwa Max Melo kuhusu kurejea kwa JF

Tushapata super sub ya maana

Wabongo wanapenda vyeo, huyo kajipa usemaji wa wakimbizi

Kurudi sio shida tatizo kwa mashariti yapi???kwani kama watakuwa wameyakubali matakwa ya tcra haitakuwa ile jamii forum tuliyoizoea ,itakuwa ni bora ya kubaki huku huku uhamishoni!!na hata ikirudi hewani lazima tujirizishe kwanza pasipo shaka kuwa,tupo salama kiasi gani

Habari nzuri

hakika… ikirudi tutafurahi sana watizii

Ila u

Ila ukilike post ya daMange na kumsaport unaanza kufuatiliwa na bashite

NA NYIE NDIO MNAONA SIFA KUBEBISHANA HAMJUI WENGINE TUPO SINGO :mad::(:rolleyes:

OYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO… GOOD NEWS

we tulia si ulinkataaa:D:D:D

woyooooooooooo

Sasa Ntolilo kwanini usingeScreenshort alichoandika mwenyewe Melo,badala ya wewe kuandika maneno mwenyewe?

Wangapi wamefuatiliwa? Na wamechukuliwa hatua gani

Mmh. Kwa upande wangu sitaamini mpaka siku ambayo nita login jf ya nyumbani na ikakubali ila nje ya hapo naziona hizi ni porojo tu za kutuliwaza.

@Sesten Zakazaka njoo uone ujumbe wa Melo.

Eti max nae kajisajili humu?

Mmmh ila saa nyingine bwana jiwe huwa yupo sahihi kabisaa. Tofautisha kuandika mwenyewe na copy and paste mkuu. Nadhan ukichunguza vizuri utaona nilipoandika na nilipopaste. Have a nice evening

:(:(:(:confused::confused::confused::confused: bado i love you

:D:D:D:D:cool::cool:

Hiyo ndiyo solution tu! Kwa hapa tutajivuta nyuma kidogo

Nimefika Hajar japo kwa kuchelewa, si unajua tena kwenye hii kambi ya Kankuma watu hatuna furaha kiviile tunajiuliza lini hali itatengema huko nyumbani ili turejee makwetu

kwanza njoo Pm YA JF TANZANIA…IMESHARUDII SIO UWONGO…ILA PM MNACHAT KAMA KAWA…KUCOMMENT KWENYE THREAD WAMEZUIA KWA MUDA