Tupewe hio public ip yake tujaribu kupenya hadi kejani
2 Likes
he he:D:D:D:D:D:D:D
Maghufuli alikipata Jana mpaka akabadilisha avatar yake to giraffes.
2 Likes
Ukijaribu kujibizana naye kama wewe ni mtz ole wako.Utajipata kizimbani ukijibu mashtaka ya kumkosea kiongozi wa nchi heshima!
Mboga ya fifte na mboga nzima ni faif bob … @spear icio ni ngoma