@Meria Mata njoo hapa …ni ukweli unaweza uza zile coins za kitambo uko ma 1980 na 1970s izo ma 1 shilling coin maanake nimeona pale soko nyeusi ati zingine hata hunuliwa 50k per coin??
Niko na za 1910-20, wataka?
izo ni zile ziko na shimo
Yes. Za East African Protectorate na za King George
Here they are, how many do you want? [ATTACH=full]30194[/ATTACH]
I have always retained them suspecting kitu kaa hii. Can some1 inbox me the soko nyeusi?
I have a EA Sh 100 note circa 1952. How much will they buy that for?
Notes hazina market sana. Hang on to it though
na mbona hua expensive hivo??
Unaringa na 1989? Niko na za 1968,75,78 etc…
Ata mimi nataka jua zinauzwa wapi. Got a ton of coins.
Kuwa mpole mfuko ya makende.
1 Like
izo coins za io tym were made of silver that why ziko in demand…melt io coin utengeneze kitu ya maana