By the time you get it, it’s cold. Enter the nearest hotel or kibandasky…or stop those Burundi nationals selling coffee and ndazi for 20 kshs
Na sikuizi nka waliharibu nescafe…hio stuff ina taste upuzi sana nowadays, any brand msuri ya coffee.
Dormans is better than nescafe.
Safi! hio natafuta kesho. Nilitengeneza kwa ofisi ka nescafe nkaskia nka nakunywa takataka, the same na cadbury chocolate, inaonja tu upuzi.
Wanatengeneza coffee na Maji ya mtaro. It was on social media.
Chukua dormans na kuna ingine inaitwa Africafe… ama now that ulimi yako imeanza kukataa instant coffees tafuta coffee machine ukuwe unajisiagia coffee beans zako… ama ile ingine ya kichungi…
Hehe, ile ya kichungi ni ile huwa na sachet biggy ya reddish ivi, local?
Yes. hehehe… ziko mingi tembea supermarket ujionee ama uingie Java or one of those coffee houses wakufungie stock yao ya beans…
Tafuta premium coffee kama Jacobs or Shiriki. Hautarudi kwa hizo takataka zingine. Use hot water na sukari kidogo. Then inataka ukunywe maji kwanza morning before taking and wakati uko na njaa kidogo. Ina feel poa…kazi unachapa proper. I actually use this instead of alcohol because bei ni kama mzinga.
You can look for a decaf for mild strength.
Itabidi
I like Mac coffee. Have always found Nescafe to be nasty