Nimeingia club kukunywa mbili nikiendanga. The only seat nimepata iko next na kunguru na kunguru imeng’ethia tu haina fobe. Rating ni kama 6.5/10. Naona nikiwekewa mchele hapa. Who on earth huenda club kukunywa maji na kuzubaa…
Wewe…nani hii kijiji hakujui brown skin chieth gweno :D:D:D
Mimi ni NV omwami. Nimeitisha pilsner zangu na sasa inaniangalia na macho ya huruma
Hehehehe. … ulinuanua suv?
Zii. Vanguard nawekelea July nikimaliza kutengeneza hotel. Biz kwanza.
:D.Kwan uliuza nze?
Nina mark x.
Ile ikona over 230,000 kms.
Yup. Hence the need to upgrade. Maybe wewe ni birrionea so you can’t relate. Tulia.
@M2Random niuzie nze being taken jioni. Cash.
Iko na sista yangu mdogo.
Hehehe…Boss, tafutia uyu jamaa vanguard kwa bei ya mkulima mdogo.
Sibuy Leo. Nimesota maybe July hapo. Ama nikuje unijengee pigsty hapo Kenyatta Road
na Wakanyama akuwe supplier
Enyewe unaeza kua umesota nakumbuku ulikua na deni ya mzae ya mita moja inaonekana ulimlipa.
it can’t end well.kuna nongwe inaweza jua haijui
mkikuyu mjinga niaje
niaje engui,nilipata shrooms, unadai?
Ata mimi niko local
ulizishika wapi? nichapie inbogsi