Club VIP

Kuna talker alipost hapa ati vip ilikuwa raided. Nimekuwa tao nikisaka car parts river road na ni true. Bouncers walipiga kijana akapass, iyo place huwa na maswara mob

5 Likes

Kijana alifanya mini nfio apigwe?

Probably alifuliza kuma ya lanye.

I don’t think so, kama alifuliza Lanye wangemchapa na kuiba simu yake

1 Like

What is the relationship between carparts and club VIP?

8 Likes

Hio I am sure ni huko juu..Club VVIP yenye iko na Reggae on Sundays . It’s the meeting point for Gen Zs on Sundays ..

3 Likes

Kuna siku nikiwa urinal,chali akaingia na dem but siko sure ka alikuwa lanye..wakaanza kushikana shikana.Bouncer alikam akaingia akaanza kuchapa dem,chali akahepa.Dem alionwa mabare kibao sana na akaachanishwa apo akilia

5 Likes

Lanye hukapitia :green_emoji:

Hiyo inakaa mchele

By “car parts” anamaanisha private parts za lanye.

Not really, nilikuwa nimeenda kununua headlights hapo kirinyaga road nikaambiwa bei nikaona ii ni ujinga nikatoka

1 Like

Wazazi wa yut bado wako huko wanakesi.Huko kuna tension fulani sai na turn up ya wasee imepungua.Ati kijana alikuwa amechai tenje

1 Like

[quote=“Deez_nuts, post:12, topic:558832”]
…

Tosixok:

Kuna talker alipost hapa ati vip ilikuwa raided. Nimekuwa tao nikisaka car parts river road na ni true. Bouncers walipiga kijana akapass, iyo place huwa na maswara mob

.

na bonobos here were arguing with me.. those police walinisave though coz hio bbw ilikuwa hapo ilikuwa imenichizisha nilikuwa nigonge

1 Like

The incident happened at VVIP rooftop, nimeona ikitrend TikTok apparently ni yule morio ukuwa in a blue jacket ndio alishambuliwa na bouncers.

inakuanga on top of VIP?

Must’ve been on a Sunday when Gen z hujaa huko jui. So we’re all revellers and lanyes arrested ama?

The story that is going round apparently ni hao bouncers walimlima huyo morio akanyuria wakamficha kwa room, huyo mzee wa VIP akajaribu kubribe officers hio story izimwe but DCI walikuwa washapata info of what happened. Would advise watu to avoid that place mpaka mambo itulie.

2 Likes

Yes ni ile ya juu.

inakuanga open mchana? na kuna lanye?