Club oxza homabay

Am at club oxza wadau homabay lakini mecho chafu.nipee directions

Leta review za hiyo place. I’ll be hizo maeneo next week

Huko ni kwakina Enigma.Ongea visoori upate konnekshens za prewall soft meat za kmtc

Naona tu wazungu wawilili na jaluo kama that’s zimewazunguka.nadhani ni bro wawili wametoka mayolo wanarusha kakitu.nasikia maamdamano lazima tuez.mpaka unga ianguke hadi 75sh.kunabore sijui kama ni vile ni weekdays

Economy ya homabay runniwa sana sana na civil servants,bankers na watu wa County na businessmen in that order.Wenye wakonna kakitu sai ni businessmen.Bankers watakua loaded from kesho.
Timing yako ndio kidogo off considering end month ndio inaingia.From tomorrow utaanza kupatana na a random bank teller same place akishout ‘leta venye sisi iko!’

Hii lazima mdau.iko na mpaka PEPS dispenser.

:D:D:Dalafu a sanitize na battery acid before and after use

chunga sana huko kwa kina @Douchebag Otieno ukimwi iko 80%