Club newbie

Can someone go the club alone

Without company as a loner

[ATTACH=full]471790[/ATTACH]

Been a while since I used to do that but it’s possible. Kuwa tu on the move

Meaning

Very possible. Mm hukunywa solo and end up making some drinking buddies who we never talk on phone

Usikae place moja sana watu wajue form yako. In other words club hop. Toka mjini enda thika road, ingia Mombasa road. “Don’t settle”. That’s what I do.

Well, jeffery dahmer did that everytime

Usijaribu bro.utaregret Mimi ni victim wa mchele hivyo ndo Mimi niliekewa mchele na nikapoteza pesa mob sana.

Kama huna rafiki mko naye wewe kunywa Kwa nyumba.clubbing this days ni hatari sana

Ends na relative au friend otherwise utadisappear without a trace

Enda na dame umetoa tagged mfanye mechi after clubbing

do not recommend you go alone, pub ni sawa but club apana

[ATTACH=full]472088[/ATTACH]
[ATTACH=full]472089[/ATTACH]

If you meet such species, utajua hujui.

Hiyo nayo ni zii, something horrible can happen to you na hakuna mutu anaweza saidia wewe.
Do vile @Onewife Onebabymama amesema

Boss 80% of the time nikienda bar niko solo. Nothing has ever happened. Am very careful though. Pia i make new friends at the bar na story zinaishia huko. I dont even trust myself.

Kuna siku uliweka hekaya hapa vile ulishikwa River road usiku and it was a very expensive affair, in case something happened to you ni nani angejua?

Si nilijitoa kwa hiyo ngori