Wtf is the role of a club host?Halafu hii role ya hosting isn’t it ya madem kama akina Vera sidika na Amber Ray?Kuna jamaa alinitumia poster ya event ingine ilifaa ku happen last night.Hio poster ilikua na picha yake kando ya ya dj ati yeyyee ni host.I only replied with a thumbs up.Sasa kufika around 7pm anani wozzap ati unakam?Siku jibu.Kufika mtaani nikaweka status flani kwa wozzap akaona aka reply ati ‘you lied to me’.
Sasa ukitumia mtu poster,ni lazima atokee event by force by fire?What is my motivation to come for such an event?Is it because wewe ni host?Na kama wewe ni host,what do I benefit?Kuna mzinga ya free or anything ya maana?Kama mtu anadai nitokee event,mbona ujam if I don’t show up na ningetumia fuel yangu kufika kwa event na nitumie pass yangu ku buy drinks?Hii upuss ya hosting ni kazi ya madem bana.Naanza kushuku huyo jamaa ni shoga alikua anaiita bash ya fraternity coz mi sijawai skin ndume Anacostia.
niliona post fulani huko facebook wanajitetea ati hawalipi a certain kikuyu musician because hakukuja na watu club ijae. I guess it is the same case. Lakini kuhist ni kazi ya madem
Huyo jamaa ako naive kiasi. ALL relationships are transactional. He should have explained to you vile utabenefit from attending sio kukutumia poster kimalamala. I think you did the right thing because you value your time and money. You probably felt a little disrespected.
The last club hosting tuliitwa tukiwa uni many years ago DJ alikuwa beste ya mmoja ya beshte yetu. Club ilikuwa mpya Westlands. As broke students aliguarantee four beers each na tukakaa VIP section. That was the value proposition and it worked juu tulikam na makunguru wa campo. After deducting our drinks niko sure mwenye club bado aliunda pesa hiyo siku juu unsuspecting customers walikuja.
As an adult man, you are expected to always provide some value. Nothing is free.