Club blends

The black in da hauz. Kameshika mbaya.

Mko wapi watu nguyaz after ku unleash jubilee party?

1 Like

am a delegate…tunakunywa na momo ya urp apa awaiting bus ya nys impeleke rift kesho…

Niko uku kwa akina Kawambui Laikipia tuma dollare nichome Mbori

1 Like

Wewe si ndiye uliogopa kuingia Strip club

1 Like

Club is owned by a friend who @Supu don claims to know…so its just a matter of time…

1 Like

Mimi siwezi ogopa strip club…reta evidence niliogopa msee. Nimeenda zote. Trappers wanajua mimi sio trappable.

1 Like

Hehe matter of time for what.

Btw cheki maneno is making a come back from next week God willing. …

1 Like

Uje nikupeleke premium brothel lavington utashangaa

3 Likes

Before ni-meet supu… sawa mpango wa cheki maneno ni awesome as usual I am in

Hehehe hizo zinakuanga na cctv na lights full blast? Massage parlour?

Hapana clients ni premium customers na ni drivein kwa mansion in a leafy surbub… kuna dj na drinks ni 250. music iko but just enough to mask conversations…very ambient…s-class ziko kwa parking…U can stay even a week in the mansion ukitaka

1 Like

Waah. Naweza taka kusafisha macho huko pia

Huko ni kunoma sana
Last time nilienda agenda ilikuwa kusafisha macho then there was some extra cute girl nikambuyia heineken kathaa… after a while akinigrind akataka kunikiss nikakataa. Of course I cant kiss a whore akaleta drama sana ati…I have attitude, eti I dont appreciate her…mpaka akataka kunilipia room free. I had to excuse myself faster faster kabla ndrama i unfold.

1 Like

Laikipia side gani mkubwa? Huko ndiko home pia

Niko Oldonyiro mzee… unajua

Been there once skumbuki ni wapi vizuri lakini nililimwa pesa si kidogo io siku. ilikua bachelor’s party ama stag or watever its called.

1 Like

Huko ni sides za rumuruti lakini? Am frm the other side…Ng’arua

kupita tuu, sijapiga kambi hapo fiti
Niko huku North karibu Kimanju temporarily

North ni place funny sana. It’s vast with no road network. I also reside in North. Offices zko pare doldol. One can spend roughly 1k for transport from home kwenda kwa headquarters. Afadhali wangeleta tu nairobi. It’s much cheaper

Hawa birrionaire wa huku hawataki lami meeen. nilisare kuja na gari uku juu itakua mkebe within a short time na si suv. iko kasamburu flani pale doldol kalinipromise ikus nafaa kuenda kuchangamkia

3 Likes