Club blends

Kameshika mbaya.

Hio iko wapi?

He’s so drunk he doesn’t know where he is

Right now I must be in some talkers club…
It reads : Club Uppusy

3 Likes

Iko thika majamaa…ratio population is 3 girla to 1 dude…na madame wote ni wasawa

Sawa. Tumekubali umelewa chakari

1 Like

Teren Teren …KiaBu girls akina nduta,wairish and Shiroh

8 Likes

Wote wako sawa…

2 Likes

purr kuja nikubuyie ka wine hivi hivi tukunywe tukichapwa na ka breeze

Hapa ivi njaro ni ya kushika matako

3 Likes

Shika matako basi brathee na ukamue

Nt today…Thanks for the offer :slight_smile:

Na kutingiza kwa wale wanayo…leo ni ile siku

Tafadhali tupatane hapa kesho. Maliza pombe kwa glass, anza kunywa kwa chupa. Kama unaweza toboa hapo juu ingekuwa smart. Leo watu wamelipwa mchele iko kila mahali, unafinya finya matako hapo kumbe unaingizwa mchele at the same time.

3 Likes

Too drunk to drive

Thika kuna uber?

Washa tuone kesho.

Iko buda…

Asante…lazima tuwe janjez :slight_smile:

Alright then sunshine, by the way nakujua purr and am surprised how you ended here @ktalk/ klist

1 Like