Nani amefika hii club iko westy? Naskia ni
ajab na hakuna kuvaa nguo za ukahaba for the ladies
wanajifunika gubigubi na buibui?
Enda urudi na hekaya . meffi
It’s not calabash, no ratchet women allowed in. you need a reservation to enter especially ukikaa mtu mashida mashida hivi