Clinic Za Container

Juzi nimeuliza kuhusu El-Nino na bajeti yake, hakukua na jibu lenye mwelekeo wa kuridhisha. Sasa leo nauliza kuhusu ule mradi wa Cliniki Za container ama sijui ni Container za cliniki. Ulimalizika vipi ?

Naona Wamarekani hapa cheche tu

Majibu yadumishe mada, sio miharo za kisiasa.

[ATTACH=full]98669[/ATTACH]

1 Like

No… It is because Donald Trump… excuse, excuse, excuse, excuse, excuse, excuse.

Anyway, this is a clear way to influence the elections lakini, MWIBA WAKUJITAKIA.

3 Likes

Somebody mentioned somewhere kwa hii kijiji ati watu walikuwa wanachorea Unimix za malnourished kids due to drought. Nikajua kuna watu hawana roho kabisa.

Call me oldschool, fala, or whatever. But sidhani naeza endesha V8 nikijua the source of that money caused someone to die. Acha tu nipande forward zangu na amani kwenye roho.

But mashamba, hizo nitaiba very fast kama Ruto. Eish, we are all corrupt. Ama namna gani my friends???

17 Likes

Hizi clinic ni zile za Mafya House? Waiting with bated breath for any explanation from tumbilidiots…

http://i2.kym-cdn.com/photos/images/newsfeed/000/495/383/4a5.png

3 Likes

Last i heard of it there was a court case against the suppliers which left the containers grounded in Mombasa, sijui kulienda aje?

I think it is (was) a noble project especially when well implemented and managed in the expansive counties where hospitals are few, far apart and understaffed, whatever happens the project should not be scrapped off. just fine-tune it.

You steal and burn plus the granary. Scorched earth policy ndio zetu. Iba kila kitu. But then again, there’s a nice house worth over 100m coming up somewhere in some neighborhood pale rware.

Yours is the first meaningful first reply to a listing I’ve read on KTalk this year.

2 Likes