Classic 105

So leo asubuhi mzito nimeamka na hangover nikaamua nipande Lopha pale ruiru niende tao. Kama kawa gari za ruiru huwa na adabu atleast huwa na ngoma kiasi si kama mat za kwenda Langata.
Kama kawa juu ni asubuhi donda hawezi wekea watu dancehall so ilikuwa Classic 105 (maina and kigangi chieth) Kuna hii ghasia inaitwa maina ilikuwa inabonga kama a very bitter stoned age feminist na yeye ni mwanaume na kipara I wonder mbona bado hajamea boobs. Niliboeka yangu yote karibu ata nishuke nirudi kwa packing ya man cave nichukue gari

Gari yako ni KB?

Mimi husikia King’ang’i anamsalamia "Mrs Maina’ jama hashikanishi juu King’ang’i anajaribu kuficha hiyo "s’ ya mwisho.

Uliza Wakanai, I suspect he is the Mr. Maina

Watu wa Ducati na akala tuketi wapi?
[ATTACH=full]201245[/ATTACH]

Tumejua uko na gari…

Nimewachia hapo kwa “Lopha…” can’t relate.

Moderator,Lopha Sacco was not the point…

Hehehe… Isipokuwa saa hii ni mid-month na mhindi bado lipa watu.

“Warubanji”… You know what that is? Lakini mhindi hapana ruka warubanji…

Bitter fat old Women IDGF

What is Warubanji? lol :D:D

This tête a tête…:D. Warubanji…the shineye corruption of advance. The muhindi type that once delayed,makes automobile owning Kenyans take to the saccos. And they never let us forget,that they mingled with us in those contraptions with “epukaTB,fungua dirisha” stickers!

Umeondokea hiyo comment that you’re fat kama vile Keanu Reeves aliondokea zile flying bullets. Umekula enough pizza slices it seems :wink:

Iko sida gani? YOLO :D:D:D

Hii gari inatoshea Kwa packing, kwani ni Ile ya @introvert ya wire?

Mat za thika rd huwa na hio upuss ya kuweka hio station asubuhi. I loathe that ferkin morning prog, talking dirty na watoto wako on.
Buy good earphones zile ukivaa hauskii any noise from your surrounding. weka Xfm ama fareed kimani na utulie.