Clarette Lounge on a weekend. Enyewe biashara ya club ni noma

Hii club kuna time ilikua ndio kusema thika road…

1 Like

Labda its a weekday

Club ikiwa hivi ndio time poa kuokota malaya watatu na bei tupa

3 Likes

This is what happens when a club owner brings in mchele bebs wateja wanasanyiwa bila any avenue ya kufwatilia.Hio Claret club ilishika saidi hadi walikua wanalipa ma influencers wa twirra,influencers born after claret was opened,what a shame.Cheki casablanca mombasani.Madem wanauza senye hapo wanajulikana.Na management wanajua mcheti hutembea.So ni jukumu lako kukuwa mwangalifu.Ukishow system yao ulikua umemezeshwa mcheti kwa counter they refund you or buy whatever shit was stolen from you.Na casabiach mombasani hawajawai lipa influencers wa twirra wa trendishe ma heshtegi za ushata and they are still operating almost 20 years down the line.But kama uliibiwa after kuwekewa mcheti go there early morning kabla Omosh the club manager akuje job coz ata diliti cctv.He has been there since sijui year 2003 so yeye ndio kusema unlike other clubs like claret which have new managers every 1 week .Hapo claret manager alikua anadai client is guilty unless otherwise charged,meaning cctv access was zero.Watakula huu na wafunge kama goodhope.

4 Likes

Wa collaborate na calabash. Waweke rooms za 200 na wajaze hizo table na malanye wa 150 . Wauze keg, chrome na jaba. Nitakua customer

5 Likes

Umbwaa mzee mlamba mkush ya @TrumanCapote tulia.Sio lazima hio kaswende infected throught of yours i comment on everything.

2 Likes

People are broke…

Are you trying to say Casablanca huwezi ibiwa na lanyes wa huko? Kwanza those ones wako na Sura ngumu ajab, tattoos all over there body etc. You have to be very daring to pick a lanye hapo bana, that place looks like a chokosh zone

2 Likes

sj ndio tu najua hakuna mchele

1 Like

Actually Casablanca black lists lanyes kama ni wezi ama mchele peddlers. So as long haubebani na yeye and chew within the premises uko sawa.

1 Like

In fact they should just start selling keg and cheap makali to hustlers to sustain business

Mbitika niaje?

1 Like

Mbitika ni nyanyako. I am Nguyen

2 Likes

Buda, ni gani hizi tena

2 Likes


Idler ako na Sura ngumu kuliko ya Jackton Obiero Sura ngumu.

4 Likes

Huyu ndio mbitika nguyen

1 Like

huyu mungich mwitu anakaa half cast ya jaluo na mongo hunikalia fala ajab

1 Like

Clubs on Thika Rd. tend to have a short lifespan because they’re easily accessible to mchele hoodrats and the management does nothing to protect their clientele from those mchele peddlers. Once word gets out that kuna mchele kwa club fulani, most men with money to spend stop coming there, club inaachiwa machokoraa, and that’s how it dies a natural death

1 Like

Ukishaanza kuona ma chokosh kama @johntez_addi_gaza_ms kwa club wameshika chrome na jaba… ujue hiyo club imededi.

Kuna talked alisema by 6 months hizi clubs huwa zisha achieve ROI. After that ni profit.