City Spa Next to House of Leather shop opp Jeevanjee gardens

Nani ameosha Juanga hapa alete reviews na damages?

Enda utuletee hekaya, hutatumia pesa yetu vibaya hivi

Uende urudi na hekaya meffi

Crystal Spa uta-quotiwa fixed price kama ni massage ama full service unataka with options to select whoever unadai.

City Spa on the other hand quote ni ya massage, extras ni wewe na huyo dem anakupea massage kwa room, usiende uko especially kama unakaa mtu uko well off unless ni PNC unatafuta.

2 Likes

Bei za both hua?

Lazima bei ziwe acha maswali za kishakahola