City skyline from Karura forest

[ATTACH=full]401002[/ATTACH]

Usiseme ulimwaga golgi bodies ndani, ndaani, ndaaaaaani ya uterus ikabidi utorokee karura…
Angusha coordinates ndio wanakijiji waweze kuitumia hiyo njia ikihitajika.

Karura pande gain village @ChifuMbitika

Nairobi ni takataka walahi kama several cities in the first world. Hakuna green space kabisa. Hio ni ukiangalia from far. Ingia streets uone maajabu. Chokora, hawkers, matatu, potholes et al. Na eti huko ndio watu wote wamesoma na kuomoka wanakaa. Sad!

True dat

Northern corner