Wakubwa hio ni therapy
today stumbled on Jah Cure on you tube imeniweka the whole day
si mnitaftie lavaground riddim instrumental…
https://www.youtube.com/watch?v=fiw_0l6Fi9Q
Jah Mali- Runnings Red Ilikua mambo biad
ASunday kamata iyo
[ATTACH=full]93230[/ATTACH]
mtu anaeza enda wapi apewe sauti ka ya huyu mzito?
Alafu version yenyewe ukiskiza Taurus…mwotoo kama pasi…
I Wayne hapo alimaliza hio story hata mimi nipewe instrumental yake
@Ice cube make a point of listening to Taurus…enzi zetu ungeandikia a lady his lyrics hakuna venye angeruka…
hehehe naona comments kwa youtube madem wamemkufa tayari juu ya voice
medley yeyote iko na dean fraser on the sax ni pure therapy kwangu.
Jahcure vs Romainvirgo moto sana.
unataka sauti ya a convicted rapist who served 10 years in the joint???