Citizen wanaziwekelea bila mchezo. Winner to be known by noon

Wameacha mchezo. Masharia amekubali liwe liwalo

From their tally… only 1.4 milli remaining…by 3pm…it will be game

Kuna watu fombe itawamaliza

Nashangaa Waihiga sasa ako na kura kuliko mshahara yangu

At the rate Citizen figures are changing, by noon (Nairobi Time) Raila will likely be leading. Acha tuone how the rest of the day goes. Mi niko relaxed for now. I’ll probably start getting restless when we get to 14 million votes tallied.

Ulisharudi Kenya

He’s already leading by 50k pale citizen…wameamua kuachilia tharaka nithi

He is also leading here by over 300k:
https://elections.nation.africa/

Bado, narudi next week Tuesday, if all goes well.

Lakini wajahkoya ameonyesha waihiga kivumbi kweli kweli :D:D

Crisis ilipita ama bado inakuandama?

[ATTACH=full]457444[/ATTACH]

Itaniandama tu, but the break was/is worth it. I’m better equipped to deal with that aspect of life moving forward.

:D:D:D

Safi

Baba on steroids, ameenda kuenda.

Baba amechukua hiyo kiti tayari…jambazi sugu irudi sugoi mapema.itumbi with his fake results atakua jobless very soon. Kazi yake itakua kuandikia Jackie maribe poems za upus

Mna watch channel gani ndugu zanguni

Kunaendaje, zimesimamishwa ama! tuandae diapers na tissue tena….we restart the count at Bomas, wueh

Sahizi inaongezwa .01% mpaka tufike 51% itakuwa imefika 7m +