Citizen Nipashe will tonight be live from State House

Catch Citizen TV 7pm news live from state house where H.E the President will be interviewed.

Mafans wa inspekta mwala @pamba @Tarantinoh and the likes, your favourite program will resume next week.

7 Likes

Hata wewe ni fan. RWNBP

2 Likes

Thanks for the info, achana nitune kaportable sat dish kangu to 70e nipate citizen TV, huku kichakani hamna signet

2 Likes

Ongea Nami visuri uwe elder saa hii

Hebu weka mbisha ya hako kaportable; hata kama ni ya mtandaoni…

link, pahali niko hakuna telly karibu…

1 Like

Sihami Kyeni Ultra HD

4 Likes

https://citizentv.co.ke/tv/

Watch it through Kenya moja.

:D:D:D Sitaona absolutely na upuss zake.

1 Like

Hawa wanawake wanakimbiza muthamaki .

Muthamaki anakasmile ingine ya kiulevi ulevi hivi.

3 Likes

Hiyo ulizeni senator
Hehehe
That’s my president
You can’t trap him

3 Likes

Rais ako Sawa na amesema ukileta umbuzi atakutusi.
Mnaskia mafala wa Joho?

3 Likes

Huyu msee anakaa kuwa gauge kiasi.

Me thinks Sonko amempatia ile JW double black alibakisha jana before aingie interview Sunday Live na Hussein…

Mimi ni Harambee Stars

@Meria Mata Fanya live commentary bana. araa?

2 Likes

MM ana shrub sana. Labda afanye live commentary ya Njata TV

3 Likes

@Meria Mata ,ebu weka mbicha ya President akihojiwa,mimi nimeona hana wedding ring ama TV yangu iko na madimoni?

1 Like

Unataka kumuoa?

10 Likes