Basi ikona sticker inasema no preaching, hawking or smoking. Lakini kuna MTU atakuja aanze kuhubiri vitu haizi eleweki lakini nikiwasha fegi yangu watu wanakasirika
society haijielewi. haitaki mtu ana question pastor. utakuwa adui mkubwa wa fellow passengers ukiambia pastor aondoe kelele hapo.
Kenya ina kondoo wengi.
1 Like
Usi pickpocket mraiya kwa io basi tafadhali
1 Like
Be the bigger person. Huwezi bishana na bus mzima. They’ll only leave you with a lot of negative energy.
Kamzae kengine kalisahau kana preach kakaambia mama fulani ’ na wewe Wachana na bibi ya wenyewe’ nikishuka niliachabkameshikwa mashati na wamama kakawaonyeshe mahali anajua hiyo boma inaaribiwa
Oyole kuna Citi Hoppa au KBS kweli? I thought ni 19/60 FH zinaendeshwa na mungiki nikama zimeibiwa
Perfect business opportunity for kina Harrison, nganga, wanjiru na pius
1 Like
Wewe ni wale Muna angusha coins Kwa matatu. Meffi