Citi Hoppa & City Shuttle VS Super Metro

[ATTACH=full]499885[/ATTACH]

Is this because commuters prefer super metro, or super metro has an unfair advantage?

Kick all those contraptions out.

Competition is good…hizo bus companies mbona ziko na entitlement

Unapata 3 super metro buses zimejaa zikaenda na kuwacha watu kwa line Alafu citi hoppa iko hapo na imejaa nusu for 30 minutes

Halafu io time Citi Hoppa is 10- 30 Bob Cheaper…

Its not about commuters preferences…its about stage cartels interests… commuter’s na ma preferences zao hawako hapo…hao wanyamaze wangoje zile dominat cartel itasema

Super Metro wamepipinya sacco zingine makeii sana. @Yuletapeli leta taarifa

Waliingia kitengela wakamalisa Sacco kama zote huko, very organized, lazima wanalipwa poa

Wameanza kutumia expressway ama pia walikaziwa?

Hakuna matatu expressway

They are back… niliona supermetro ikitoka Syokimau mpaka Westie asubuhi na jioni…

Unalipa 150.

Citi hoppa wapigwe

City shuttle wafinywe. Hao maumbwa kazi ilikuwa kulala Kwa stage na gari imejaa. Lazima wabebe chuma ndio gari iendee. From ruai to town ulikuwa Una chukua 3 Hours.

Wako Kila mahali, na wanapesa

Hii ndio tabia yao

Super metro are very organized.