CIRU WA MUCENE

Hehehe never tried so had to muffle my laugh, almost suffocated! Kali sana, yani mose hange sare tu ivo?

:D:D:D:D

mose lazima agekamua na akarudi kwao before dawn:D

Kuna jamaa najua anaitwa Ciru. Sijui nikamuulize Ciru ni dada ama mtoi wake??

He he he…

I have paused to laugh. TLS wewe!!

:D:D una ufala

wah, hapo kwa church :D:D:D

Hihihihihi umenichekesha sana.

Budake hufanye kazi gani

umeuliza ivo nikaona una.juwa nikisema job yake…cheza chini kaka

Na ulishambia our town Shathay.

:D:D:D:D:Dtommy siwezi lipua…

Kwani pia Wewe unajua wanjiru:D

hii ni true story?
i thought ni utani tu

Hekaya zote za TLS ni true story

shiet! mpaka ile ya kutomba mgomba ya ndizi na konokono?

Nathani

:smiley: hii nayo labda ajibu mashtaka ye mwenyewe

sparta mbona apeane hekaya sio true
kila story ni true