Ule jamaa wa manyake alikuaga Psycho. Aliendaga wapi ?
1 Like
Aliokoka
Tuachishe
And Joel?
Joel bado yuko ana to a ngoma moja moja.
Last saw circuit kwa local flani komarock
kuna fala alikuwa anapenda kuweka hii song sana kwa ampex yake tukiwa JKUAT Hall se(i)x kitu ma 2007/8. cringeworthy
3 Likes
Hapa umejiuza. Always suspected it was you but now I’m sure
1 Like
hehee. sijifichi. i’m not a wanted man anywhere. hit my inbox if you a former comrade
Hehe, Jeshi ya Juja Mboys. Comrade lakini period tofauti.
2 Likes
Ni waiter Thika