Chutney reggae

When you mix bangra with reggae.

1 Like

Nice stuff!!

Very soothing?

Hawa madem wakihindi ni wale tu wa india ile moja chafu ama ni wa wapi?

Ni wa Carribbean west indies

1 Like

Hako ka sauti ka madem wao huwa ka nyorororo sana, unaeza doz buana

1 Like