Churches are a scam

:no_mouth:

Nyamu akili yake anafikiria vile anaweza nyanduliwa na hao wababa hapo nyuma kama wamevaa hizo dress. Hii church ni bure sana ni ya cross dressers.

2 Likes

Kama Kuna church inakuanga na raia imesota ni hij ya msambwa. Followed closely by The Akorino or Akorintho sijui tafauti.

5 Likes

Si akorino ni kikuyu kalasingas

3 Likes

Respek wana wa Israeli Akurino church of Kenya. Hao watu huanzia Darama apo kwa Jambi hotel Naivasha, saa nane unawakuta gilgil wakielekea Shabab Nakuru

2 Likes