I usually advice @Ndovu and @Kahawa_vajo to date a church girl and they’ll avoid so many risks na cost za lanye.
Kadem kama haka all she needs is new clothes and shoes za church, visit her parents ukiwa na shopping bigi, pesa ya harambee and promise her that you’ll marry her utakula yeye sawa sawa.
Nao ujue if you break their heart they are prayer warriors watakuombea mabaya uanze kuteseka…
Soko iliharibika. Dem Ako innocent Kwa church. Ingia mkia mara ya kwanza. Ndio utajua Ako na rent arrears za 5 months. Ukienda calabash hautakua na hizi mashida
Jerry City top floor ni church. Lanye wakimaliza job wanaingia service halafu wanaenda home. Mlinda lango anakumbuka, when he was young and stupid, Mueni na beshte yake wakimpea 3some moja muoto kama choir inaimba “Jehanam panatisha”.