Good evening Talkers. If you are here and in the business of selling church equipments(P. A, Musical Instruments) I would like to invite your quotations.You could also advise on the best pick with regards to:
a) Quality
b) Affordability
c) Reliability
ooh… Ndio umejua pesa iko kwa wanakondoo ??You’re not late
@Pasii hapa tuko anonymous. tuambie uliwekeza hela ngapi kwa ii biashara ya kanisa, na una collect how much weekly. uko na professionals wangapi wenye wanatoa tithe faithfully?
Vifaa vya kanisa ndio bado hutumika kwa club. Ukitaka speaker mzuri nunua dB. Ni powered so pesa utanunua amp kidogo tu ya kuconnect na mics.
Sijui kama kassangas; moi avenue utapata hii mambo ingine ya instruments since I have not been to that area of town for long. But hapo karibu kuna duka ingine kama kassangas, I forget the name, unaweza pata hizo instrument. Mic na speaker enda sound creations utapata. Sauti safi.
Unataka kupigia watu makelele kwa estate?
Thank you bro
Enda Credible Sounds ya Moi Ave or ya Luthuli Ave. If your budget is good like 3M or more someone can import top notch equipment for you.
Mtu wa turedio @Electronics4u tebu kuom ivi … kuna kazi hapa. Chukua hii tender ya @Pasii na urushe kakitu.