I remember one Christmas my uncle alikam kwetu akatununulia matumbo 20kgs, wacha tu nakwambia tulikula Mpaka zingine tukavaa kwa vidole kama pete. Zingine tukavaa kama socks.
All in all Mungu ni nani. Hii Christmas nilimtembelea na utumbo mzima ya ng’ombe kwa boot. From the throat, small intestine upto the anus:cool: