Christmas Mood Inakataa

Majamaa hii mood ya Christmas imekataa kabisa kuinigia…hata nikule ngima kumbwa aje bado, naskiza carols lakini wapi, nimetembea kwa malls kuona hizo Christmas trees na shopping lakini bado haingii… Nyinyi Christmas mood imeingia ama mwaka imewatandika mangoto mkatii

Mimi nko ii category :D:D:D

Christmas wachia watoto…for a sensible adult, december is just a month to reflect the year, celebrate achievements, and connect with family and friends after a whole year of hustling…hizo vitu zingine ni upuzi.

Kuna ile mood ya Christmas inakuwanga…ile inafanyanga uende kwa ATM kuchomoa 100K ya kuenda ocha nayo kujivinjari na familia na ma arif wa ocha… hio mood hakuna bana

Mood jipe mwenyewe…no one is getting out of this life alive…this could be your last Xmas.

I had to attend a burial of an in-law last week and my December mood melted down. I have to finish the month in a sombre mood and postpone the celebration to next year