KCB inauza plots shamba ya Portland Cement kando ya mombasa road bei ya chini zaidi.
Not interested kama sio buroti maguta maguta
1 Like
Hio ni wavinya ndeti selling. Next regime Wana revoke title deed
2 Likes
How much are the plots, size?
50*100, next to greenpark