Chris Brown

Watu wa Likoni bana
Mama mmoja mtaa wa Likoni ahojiwa na mwandishi wa habari wa MMNN kuhusu ujio wa Chris Brown Mombasa.
Ripota : Mama waonaje kuja kwa Chris Brown kutakufaidi we weh
Mama : Mimi ntashkuru sana mwanzo sisi watu wa coast tumezulumiwa mda mrefu sana haswa maswala ya ardhi twaomba akija atufanyie bidii tupate title deed…alafu twaomba asiende jubilee huko kwa kumezwa mate na nyama twaomba abakie Cord kwani ndio chama chetu wapwani,yangu ni hayo tu kwa Mhe.Brown…
.
hahahahaha huyu mama serious

Audio ama bisha priss:rolleyes::rolleyes:

Gojea 1pm news

:smiley: :smiley: :smiley:

:D:D:D:D Meanwhile dereva wa executive ameamua kugonga street light pale sparki

Mbisha?

Sijaweza kutwangwa

Lakini watu wa pwani enyewe hawawezi saidika. Juzi wameletewa Diamond, juzi hio ingine walikula mshikaki. saa hii ni Chris Brown. Ni lini wataletewa maendeleo? Na wakilitewa maendeleo ya title deeds na taa za barabarani na serikali kuu wanateta.

Jam bado iko.
[ATTACH=full]61423[/ATTACH]

Wapi mbisja ya Chris brown

@Meria Mata @mukuna @Da Vinci …Walalo hapana taka mchezo. Millenium imeanza kuvunjwa. Guess the neighbouring pubs will reap big

Eti nini

ES Walalo has moved into site. Jana Ilikua imezungushwa mabati. The guy is serious about removing it kabisa

Nope! Wanafanya face-lift. Repairs hapo nje ili ipakwe rangi. Soko iko kama kawaida masaa yake!

Ala…sio kufungwa ime fungwa ?

Lakini idadi ya wachuuzi imepungua sana

Hio mijichuma hapo Buxton ni ya kazi gani. Nini chajengwa? @mukuna na @Meria Mata.

Am also asking the same question

[ATTACH=full]61433[/ATTACH]

Lakini, kama ni face lift, why the violent ejection of the former tenant. He could have moved on his own volition, instead of being thrown out by hired people

I am made to understand, though am not sure or certain, that they want to erect a pedestrian flyover