Chris Brown

Ingekuwa Lost Boyz, ningeenda.

Throw in autographed cd, customized bling, exclusive pictures and unrestricted access then we have a deal

Sasa mkilalamika chris brown je na justin Bieber mtasemaje… Watu wanadanganya hapa na utawaona wakijibu kwa threads zingine ‘these whores aint loyal’ kwani nani aliimba hiyo?

WEWE BUKUSU ENDELEA KUJIFANYA KIJANA NA UMEZEEKA KAMA SISI , NYINYI WALE WAZEE WAKIFIKA 90 YEARS BADO UNAPATA MUKO KWA CLUB MUKIRUKARUKA . KWANZA HIO HARRYS TAVERN UNAPENDA SIJAWAISKIA WIMBO INGINE APART FROM RHUMBA

:smiley:

Ata kama mtu ni old school lazima you keep with the times not for your entertainment but awareness, no wonder kids loose sense of direction because parents are busy dismissing new trends. I salute the old guys who patronize this village and carry themselves with decorum they are trailblazers.

sparta zile ticket tumeuza…drama itakuwa iyo concert :