…nliendea mashughuli uko lakeside city and time ya kurudi nkafuata ii route ya Kisumu through Homabay to Migori na izi magari zinafly kwa barabara na zimebeba excess @Nyarwath kwani huku home hakuna NTSA?wanakijiji nkikufa mtu asikuje matanga
Easter holidays connected from eldoret to bungoma ,yani 14 seater shuttle tulitoshea waku 50.
Western Kenya ni poa kama una gari yako. Those psv’s rarely follow the law.
…manzee watu wanakalia sambaza na bado wanalipishwa full amount.mi siwezi condone io ujinga
…polisi wa uku kazi yao ni kuchukua tu pesa hakuna kitu ingine wanaangalia
Welcome to the countryside.
Kwanza I am saving cents and pennies for my future custom-made 1000cc, two-stroke, environmental disaster and death bait. Must have monkey bars for more presence on the road. You gon’ hear me coming two days before I arrive.
[ATTACH=full]166327[/ATTACH]
But in all seriousness, no one follows the traffic rules huku ocha. I’ve seen six people on a motorbike. The last time I boarded a mat to Malaba UG tulikuwa watu wengi sana kwa hiyo gari. Na gari yenyewe mlango ilifungwa kwa waya. Longest trip of my life.
I have since decided to cycle anywhere less than twenty kilometers away and ride a motorcycle for longer distances. Luckily, I haven’t had to travel more than 300km.
:D:D:D Budda mimi ni mgeni huko pia
Na hao washenzi wanakuanga hapo Kisumu bus park uliwaonaje? Very crude fellas.
They take more money from ma3z than police. Hii biz ya matatu ni hasara. I suspect ni ya money laundering. No sane person can do it.
Mimi nilienda burial ya baba ya colleague huko budalangi. Area inaitwa bumula ama bumala.
Nikaingia probox hapo kwa dere.
By the time tunafika destination,hapo mbele tulikuwa watu 5.
Dere ana drive kichwa ikiwa nje
:D:D:D:D na bado ulilipa?
Nililipa kama tender hehehe
Ati mnasema mat za ocha, si mtu aende tu hapa Muthaiga apande matatu za Kiambu alafu aje atuambie and the tragedy is there are always traffic cops just before KIST but they as usual turn a blind eye.
Bumula ,raia huko ndio vichwa ngumu ulikata kusongea mwenzako watakutusi uambiwe ununue gari yako,unapata munakaribia roadblock conductor anauliza abiria nani ako na fifty bob asort polisi .
:D:D:D alafu atakurefund ama
Uko na mchezo
Ile matatus kisii ilikuwa na college students ilisemekana ilikuwa na watu ngapi ndani?
Kenyans are fake, and have no rule of law left in them.
It’s everyone’s duty to make sure that the vehicles we board are observing rules, last I checked there were some hot lines to call when the vehicle was over speeding or breaking the law.
The president himself asked ntsa to stay off the roads and police to take back charge.
Failed state issues, never been proud to be Kenyan since 2007.
Seriously ofisa? File yako natuma IPOA
Ukweli kabisa. Hao majamaa walikuwa wanajipanga wenyewe ndani ya hio probox bila kusumbua.