Chobo ua’ Was Mob Justice...Not Soccer!

Chobo ua na Royal rumble… Ndio ilileta beef zote nilikuwa nazo kwa mtaa…

I remember there was this guy after kuingizwa chobo run to the staff room, pushed the door open with a bang and hugged a female teacher from behind, that was the end of that game. :D:D

I rem holding a guys head by my thighs…chobo…kumbe alikuwa na nguvu kuniliko…akasmama lifting me up. Kichwa chini miguu juu. My nose was the first to land in the soils. I saw unfeathered quails with ears.

:D:D:D:D:D wueeeh :eek::eek::eek::eek::eek:

what about stick of death…

:D:D:D:eek::eek::eek::D:D:D

Idea ya kusurvive chobo ua was… Ukipatikana wewe pia unachapana na wasee ukienda kushika totem. I rem once nilirusha back kick kama punda umati ikinifuata…jamaa dint see it commin.

In our school ‘unity umoja’ even if you escaped the following morning guys will be on your like flies on a rotten garbage…

that game was awesome, it seems boys are enjoying playing at one moment only to turn chaotic…a crowd of like 100 chasing a kid

I played this game in mwanyambo primary huko voi after classes.
Mwanaume wa 80s amefika 30 years amepitia mengi kweli.

Mimi mtu Wa ushagoo murarandia washa nikae pale-------------------->
Hatukuwa na mchezo kaa huo.

umenikubusha boy fulani alitoka kwao 5.00am ndio akue shule 6!! alikaa kwa totem hadi 8 ndio kila mtu aone aliishika.

:D:D:D

We used to call it “one more murao” if that’s what you’re talking about, we made a small mound of soil and stuck a small ka-stick on top, everybody would flick away a small amount of soil away from the mound of soil using their finger, woe onto you if the stick fell, ulikuwa unabitikwa war moja noma kama ya supporter wa NASA akipigwa na GSU.

Na bendings bado iko? You bet with someone akikupata ume bend hata kama ni kuokota pencil unapigwa teke ya kimataifa kwa rasa hadi unaanguka. Uzuri hiyo ilikua inaisha when the sun goes down kesho yake mnafaa ku bet tena

Bendings watoto wa waluhya walikuwa wanatuumiza sana, kijana ako class 6 lakini stamina ya mwanaume ako KDF.

hahaha

chobo nilichapwa mpaka nika resign from the game

Softie

hii game tulikua tunacheza hadi na tennis ball tukikosa ball kubwa the sad thing was ata ushikanishe miguu ka teno kalikua kanapenya kaa imevutwa nduki, sasa the fun part was ndio uachiliwe ulikua uguze haga ya dame, wewe maboy wanakutoa mbio wakuvunje , wewe unafuata mresh mbio na yeye anakuhepa

this was life