Chloe mtu wa mjengo analalamika hapa...

#STOLEN

On a serious note, nahama. Kwanza I don’t like it when its end month. That is
when bills come my way like success cards. And I remember I once told you guys of how KPLC walikata stima yangu kwa meter last month, then I
reconnected it, wakakata kwa post ya stima hapo nje, then I reconnected it. Wakakata tena kwa transformer hapo stage, then I talked to one of our
electricians hapa mjengo and he reconnected it for me. Then watu wa KPLC wakapea Chloe Junior barua aniletee and from what I read kwa hiyo barua, naskia sasa walikata stima yangu kutoka Stima Plaza, Ngara, and they said if I reconnect it again, watakata sasa kutoka Masinga Dam and if I reconnect it tena, watanitafuta na wanipige shock sasa.

Speaking of Chloe Junior, I don’t understand just how I end up paying electricity bills na mimi hushinda mjengo the whole day. Sasa leo bill imekuja 150 bob. Yawa nitatoa wapi 150 ya kulipa bill ya stima na hata stima enyewe sio mimi nimetumia?? I even told Chloe Junior clearly awache kutumia stima vibaya juu hii bill inanilemea! Kwanza hizi movies huwa ana-watch, mimi sizipendi. And I even told him to stop forwarding these movies juu inafanya stima pia inakimbia haraka. I told him to either rewind, stop or pause BUT NOT forward!! And I
even explained to him that akitoka shule, awache hii mambo ya kukuja home direct usiku. Inafaa apitie kwa @Jirani akae kidogo then akifika
home, there will be no need of switching on the bulb juu nyumba yangu imepangwa tu kama ya
hiyo ya @Jirani yangu. I also told him that since I have watched most of these movies he normally brings at home,
awachane nazo akuje kwangu nimpigie story zote za hizo movie, plus soundrack, slowmotion ata scratch za CD ndio we save our electricity bill lakini this domestic nuisance doesn’t want to listen to me.

I even explained to him that hizi football za UEFA Champions League huwa ana-watch usiku ndio zimefanya bill yangu ya stima imepanda. Naskia hiyo stima hutumika kwa stadium usiku, bill yake is normally shared among mafans wa hiyo team all over the world. Sasa mimi nalipa bill ya Chloe Junior yawa na ata mimi sio fan wa mpira?? I even told her to stop supporting those teams then she will be free to watch football as she likes since bill haitakuja kwetu coz she is no longer a fan. Yawa Chloe Junior amekataa kuniskiza. I also banned her from switching on my radio because she likes listening to Ghetto Radio and I was told that this station mostly plays hizi ngoma zinaitwa RIDDIMZ. And my High School brain once told me that most of these Riddimz have fast beats na hizo ndio zinaongeza bill yangu ya stima.
I told Chloe Junior that kama anataka
kuskiza radio, she should only listen to stations that play songs with slower beats ndio we save our electricity. Stations like Easy FM ama Radio
Waumini, IQRA FM, BBC and others.

Kwanza mimi naona hii bill ya 150 imenishinda kulipa and am fearing
that stima yangu itakatwa kama kawaida then I reconnect as usual, then this time round watu wa KPLC wanitafute nikiwa mjengo wanipige shock as promised, juu wamechoka na mimi sasa. Kwanza naona gari ya KPLC hapo stage. Lemme log out kidogo nijifiche. I will be back shortly.

2 Likes

@Shida Tupu, be creative and post your own shiet. Don’t evoke the bitchiness in me. I am a bitch who can give you nightmares.

:D:D:D:Dwewe rudi tu ocha nairobi imekukataa

I won’t be surprised if this guy wipes his Azz with leaves , in the name of saving money.

Unwarranted my dear.

@Shida Tupu hii NGOMBE Chloe isikutishie maisha keep them stories kuoming .

1 Like

inakaa wewe zile shida uko nazo si stima pekee:D:D:D:D:D:D:D

That the kind of woman I like. [SIZE=1]Can we date[/SIZE]

:D:D:D:D. @Chloe mi nikiambiwa hivyo narudi muchatha.

1 Like

Ever since you wrote that shit about Huruma victims and their tv’s you’re dismissed