Kwani hizo chips hupikwa aje juu zinanuka kama viatu chafu. Na bado kuna watu wanakula bila stress
2 Likes
utapata mafuta ni ya 2002… if foods smells funky ama upate bad feeling in nairobi wachana tu nayo, ni ancestors warning you
1 Like
Tao hakuna maji.
Tao hakuna aeration
Tao hakuna proper sewer system
1 Like
hio mafuta ni ile ya 1970s. Huwa hawabadilishi
Mafuta ni ya transformer na wanaweka one litre of used engine oil to raise the boiling point and make sure it lasts as long as possible
omogaka abaisi bari yaa. Ng’ete
1 Like
omogaka abaisi bari yaa. Ng’ete
Sasa umeanza kuiba Samsung huko sanford
1 Like
Abaisi Bari yaa Gaaki
Moirere aye chiombe obweri abwate nobonebe
Sawa omogambi
Omogere
Kumbe si mimi pekee huskia hiyo harufu
1 Like